Fomu ya Maombi ya Huduma za AIC

Jina la Mwombaji
Anuani ya Makazi
S.L.P
Barua pepe(Email)
Aina ya umiliki wa biashara
Aina ya biashara
Tarehe ya kuanzisha biashara
Mwaka wa kusajili biashara
Namba ya usajili wa biashara
Mahali iliposajiliwa biashara
Aina ya huduma inayoombwa kutoka AIC
Mwenendo wa fedha  
  Mwaka 1 Mwaka 2 Mwaka 3
Mapato
Matumizi
Faida kabla ya kodi
Uthibitisho

Ninathibitisha kwamba maelezo niliyoyatoa hapa ni ya kweli na haki kwa tarehe husika. Maelezo haya nimeyatoa kwa AIC ili kuweza kupata huduma tajwa hapo juu. Ninaruhusu AIC kufanya uchunguzi wowote kuhusu maelezo niliyoyatoa ili kuweza kujiridhisha kuhusiana na Biashara yangu/yetu.

Go to top