Jinsi ya Kujiunga
Jaza fomu husika ya maombi ya huduma unayohitaji.
Nenda kwenye fomu ya maombi.


Jinsi ya Kutuma Maombi
Unaweza kujaza fomu kwenye tovuti na kutuma au kuchapisha fomu na kujaza na kutuma kwa barua pepe au, kuleta kwa mkono ofisini au kutuma kwa njia ya posta. Anwani zetu zipo kwenye ukurasa wa mawasiliano.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Go to top