Tovuti hii ni kwa kiswahili / English version under construction
FOMU YA MAOMBI VITUO ATAMIZI - AIC.....Read More>>
VITUO ATAMIZI VYA KILIMOBOASHARA-TANGAZO KWA VIJANA....Read More>>
AIC – Kituo cha Ubunifu cha Kilimobiashara
• Tunawezesha kilimobiashara ndogondogo (SMEs) kukuwa kwa kasi
• Tunawatamia vijana kwenye kilimobiashara na kuwawezesha kuwa na kilimobiashara yako
• Tunatibu makampuni ya kilimobiashara yaliyoko taabani
Pamoja Tunakuza Kilimobiashara Yako
AIC ni idara ya Private Agricultural Sector Support (PASS) Trust.
Kwa taarifa zaidi, tembelea tovuti: www.pass.or.tz